
Uongozi wa Bethsaida unapenda kuwajulisha wazazi, walezi, ndugu na jamaa kuwa dirisha la usajili kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza (Form One) kwa mwaka wa masomo 2026 sasa limefunguliwa.
Tunawasihi kutumia fursa hii kwa kuwaleta watoto mapema kwa ajili ya usajili. Hii itasaidia kurahisisha mchakato wa upimaji na maandalizi mengine muhimu kwa weledi unaotakiwa.
Tafadhali ikumbukwe kuwa nafasi ni chache sana, hivyo usikose nafasi hii muhimu ya kuwapatia watoto elimu bora katika mazingira ya kipekee.
Kwa maelezo zaidi au kuanza mchakato wa usajili, tafadhali wasiliana na ofisi ya shule kwa namba hii +255 767572498 au +255767 228809. Aidha, Unaweza kutembela shuleni kwetu Mbezi mjigi magoe